Darlan Rukih Alitamani Kujiua
Mwanamuziki wa nyimbo za injiri Bwana Darlin Rukih Moses mwenye miaka 35 aliye zariwa akiwa na Jinsia mbili yani ya kike na kiume Nchini Kenya.
Rukih alizariwa akiwa na jinsia hizi mbiri na utotoni alibaguliwa nakumfanya atamani hata kujiua.
Kadhalika, Mama yake mzazi hakutaka kufichua siri hii kwa kuwaza kwamba jamii ingeweza kumtenga kwani hata yeye mwenyewe arijua kuwa hali hiyo siyo ya kawaida.
Akiwa na miaka 14 tu, Darlin Rukih alipata mabadiliko ya mwili yaliyo mtofautisha na watoto wa kiume na kumfanya aonekane kama mtoto wa kike.
Darlin mwenye wa toto watatu wenye jinsia kama yake alio wachukua na kuishi nao, anaomba kutowabagua watu wenye hali kama yake make ni kitu cha kawaida kwani noa wana haki ya kuishi kama watu wengine.
Comments
Post a Comment